
Kijora
β J Fashion β Tembelea dukaBidhaa zimenyooka sana
Kila muuzaji ana mini-shop yake yenye bidhaa, stock na mawasiliano.

Bidhaa zimenyooka sana
Kilindoni, Utende, Kiegeani, Kanga, Bweni, Ndagoni na maeneo mengine. Bonyeza rider kuona jina, namba na WhatsApp.
Fungua kwa haraka kutoka Home Screen na upokee taarifa za oda.
Soko Mafia linaunganisha customers, wenye maduka, watoa huduma na boda boda ndani ya Mafia Island. Kila duka lililoidhinishwa linapata mini-shop yake, huku bidhaa za maduka yote zikionekana kwenye marketplace moja.
Onyesha duka, bidhaa, bei, stock na ofa zakoβhata kama huna website au smartphone.
Tafuta bidhaa na maduka, tembelea mini-shop, comment, like, share na uwasiliane na seller.
Biashara za maeneo mbalimbali zinapatikana kwa urahisi na fedha zinazunguka ndani ya jamii.
Kila seller ana ukurasa wa duka lake na bidhaa anazouza.
Tafuta bidhaa, huduma au jina la duka.
WhatsApp kwa smartphone; kupiga simu kwa duka linalosimamiwa na admin.
Admin anaweza kuweka offer badge na promotional price.
Ona rider, eneo, rating na namba ya mawasiliano.
Admin anaona visits, likes, contacts na performance ya maduka.
Halishiki fedha wala kuhakikisha ubora; customer na seller lazima wathibitishe makubaliano.
Stock na bei zinaweza kuchelewa kubadilishwa ikiwa duka halijatoa taarifa mpya.
Picha, WhatsApp na updates zinahitaji internet inayofanya kazi.
Bei, muda na eneo la delivery lazima vithibitishwe kabla ya safari.
Malipo ya simu baada ya API kuunganishwa.
Status za oda na delivery ndani ya app.
Taarifa za stock, offers, oda na msaada wa haraka.
Reviews na mfumo bora wa kuripoti changamoto.
Soko Mafia ni kiunganishi kati ya customer na shop owner pekee. Malipo, ubora wa bidhaa, delivery na makubaliano ya mwisho ni jukumu la customer na seller. Soko Mafia haitawajibika kwa hasara yoyote ya fedha au bidhaa. Hakikisha taarifa za seller, bidhaa na malipo kabla ya kukamilisha muamala.