Soko MafiaSOKO LA MTANDAONI LA WATU WA MAFIA
Karibu Soko MafiaTunakuletea maduka na bidhaa za Mafia karibu nawe
MadukaBidhaaOda
πŸ“ Imetengenezwa kwa ajili ya Mafia Island Tunafikisha Mafia nzima
SOKO MAFIASOKO LA MTANDAONI LA WATU WA MAFIA
MADUKA YA MAFIA

Ingia kwenye duka unalolipenda

Kila muuzaji ana mini-shop yake yenye bidhaa, stock na mawasiliano.

Tazama bidhaa zote β†’
J
Fashion

J Fashion

πŸ“ Ismailia Β· 1 bidhaa

Tembelea β†’
GUNDUA SOKO

Bidhaa maarufu karibu nawe

1 online Β· 4122 visits
BODA BODA KWA MAENEO YA MAFIA

Chagua eneo na dereva

Kilindoni, Utende, Kiegeani, Kanga, Bweni, Ndagoni na maeneo mengine. Bonyeza rider kuona jina, namba na WhatsApp.

SOKO MAFIA KWENYE SIMU

Beba soko lote la Mafia mfukoni

Fungua kwa haraka kutoka Home Screen na upokee taarifa za oda.

KUHUSU SOKO MAFIA

Soko la mtandaoni la watu wa Mafia

Soko Mafia linaunganisha customers, wenye maduka, watoa huduma na boda boda ndani ya Mafia Island. Kila duka lililoidhinishwa linapata mini-shop yake, huku bidhaa za maduka yote zikionekana kwenye marketplace moja.

01

Kwa wafanyabiashara

Onyesha duka, bidhaa, bei, stock na ofa zakoβ€”hata kama huna website au smartphone.

02

Kwa customers

Tafuta bidhaa na maduka, tembelea mini-shop, comment, like, share na uwasiliane na seller.

03

Kwa Mafia Island

Biashara za maeneo mbalimbali zinapatikana kwa urahisi na fedha zinazunguka ndani ya jamii.

APP INAWEZA KUFANYA NINI?

Marketplace moja, huduma nyingi

Mini-shops binafsi

Kila seller ana ukurasa wa duka lake na bidhaa anazouza.

Search na categories

Tafuta bidhaa, huduma au jina la duka.

Aina zote za simu

WhatsApp kwa smartphone; kupiga simu kwa duka linalosimamiwa na admin.

Promotions na offers

Admin anaweza kuweka offer badge na promotional price.

Boda boda wa Mafia

Ona rider, eneo, rating na namba ya mawasiliano.

Analytics

Admin anaona visits, likes, contacts na performance ya maduka.

MIPAKA NA CHANGAMOTO

Mambo ya kuelewa kabla ya kutumia

Soko Mafia ni kiunganishi

Halishiki fedha wala kuhakikisha ubora; customer na seller lazima wathibitishe makubaliano.

Taarifa hutegemea seller

Stock na bei zinaweza kuchelewa kubadilishwa ikiwa duka halijatoa taarifa mpya.

Internet inahitajika

Picha, WhatsApp na updates zinahitaji internet inayofanya kazi.

Delivery ni makubaliano

Bei, muda na eneo la delivery lazima vithibitishwe kabla ya safari.

MABORESHO YAJAYO

Updates zijazo

KaribuniPayment gateway salama

Malipo ya simu baada ya API kuunganishwa.

InapangwaOrder tracking

Status za oda na delivery ndani ya app.

BaadayeNotifications na AI assistant

Taarifa za stock, offers, oda na msaada wa haraka.

BaadayeSeller verification ya juu

Reviews na mfumo bora wa kuripoti changamoto.

⚠ Taarifa muhimu kuhusu miamala

Soko Mafia ni kiunganishi kati ya customer na shop owner pekee. Malipo, ubora wa bidhaa, delivery na makubaliano ya mwisho ni jukumu la customer na seller. Soko Mafia haitawajibika kwa hasara yoyote ya fedha au bidhaa. Hakikisha taarifa za seller, bidhaa na malipo kabla ya kukamilisha muamala.

Cart yako

Kwa kuendelea unakubali kuwa Soko Mafia ni middle party pekee na haihusiki na hasara ya muamala.